Customer Care

Home > Personal  > Customer care > Help > Register Your Lline

Register Your Line


NOTICE TO OUR ESTEEMED CUSTOMERS

Please be reminded that owning, using or when buying a new SIM Card, it is yourresponsibility to ensure the SIM Card is registered in accordance with the requirements of law.

For more information, please visit  www.tcra.go.tz/legistlation/ The Electronic and Postal Communications Act, 2010 (Act No. 3/10) failure to comply is a criminal offence and if found guilty appropriate penalties shall apply.

 

Registering Your New SIM Card is Simple:

 1. Visit any registration points or mobile operator store with your valid identity card.
 2. Buy a SIM Card.
 3. Provide your details to the registration agent, and your portrait and ID are< captured.
 4. Put your signature to confirm the captured information is correct. Your SIM Card will then become active.

Please Note:

Accepted IDs from now are: -

 1. National ID
 2. Voters’ ID
 3. Passport
 4. Driving license

Please dial *106# to verify your registration status and ensure your name is correct.

In the case where the information is incorrect, kindly visit your service provider’s shop for corrections.


TAARIFA KWA WATEJA WETU

Tunapenda kuwakumbusha kuwa, ni kosa la jinai kumiliki au kutuma laini ya simuisiyosajiliwa. Ni wajibu wa kila mmiliki wa laini ya simu kuhakikisha kuwa laini yakeimesajiliwa kwa usahihi na kwa kuzingatia matakwa ya kisheria.

Kwa taarifa zaidi,tafadhali tembelea tovuti hii www.tcra.go.tz/legistlation/ The Electronic and Postal Communications Act, 2010 (Act No. 3/10) Kumbuka, ni kosa la jinai kumiliki au kutumia laini ya simu isiyosajiliwa, adhabu kali itatolewa kwa yeyote atakayethibitika kutenda kosa hilo.

 

Ni Rahisi Kusajili Laini Yako Mpya

 1. Tembelea vituo vya usajili au ofisi za watoa huduma za simu za kiganjani ukiwa na kitambulisho chako halali.
 2. Nunua laini yako mpya ya simu.
 3. Toa maelezo yako kwa wakala wa usajili, taswira ya sura yako na ya kitambulisho chako vitachukuliwa
 4. Weka sahihi yako kuthibitisha ukweli wa habari iliyochukuliwa kama ni sahihi. Laini yako itakuwa tayari kwa kutumika.

Tafadhali Kumbuka

Kuanzia sasa, vitambulisho vitakavyotumika ni: -

 1. Kitambulisho cha Taifa,
 2. Kitambulisho cha Mpiga Kura,
 3. Hati ya Kusafiria, na
 4. Leseni ya Udereva.

Ndugu mteja, kutumia laini ambayo haijasajiliwa kwa jina lako ni kosa la kisheria.

Piga *106# huhakiki jina lako. Kama si sahihi tafadhali tembelea duka la mtoa huduma wako lililo karibu nawe kurekebisha.


In line with the Government directive instructing all telecommunication operators to register the details of their subscribers; you are kindly requested to take advantage of this opportunity to register your SIM card to comply with the mandatory order.


To register your details, go to your nearest Airtel center, Airtel Money Agent or dealer shop with a copy of a valid form of identification i.e.:

 1. Tanzanian citizens: National ID, Passport, Driving License, Military ID,Student ID and Letter from Chief
 2. Foreigners: Passport, Driving License, Work permit, Student ID, Alien Card, Original ID

You can also download the registration form here , fill and send with copy of your valid identification to helpdesk@tz.airtel.com


*If you are a post paid subscriber or registered on Airtel Money, you are not required to register your line.


TCRA